Skip to content

Latest commit

 

History

History
137 lines (108 loc) · 15.6 KB

README.md

File metadata and controls

137 lines (108 loc) · 15.6 KB

Orodha kamili ya beji zote za Mafanikio katika Wasifu wa GitHub

Read this in other languages:

English · Chinese · Русский · Nederlands · Français · Deutsch · हिन्दी · Italiano · 한국어
· தமிழ் · ಕನ್ನಡ · odia · pidgin · Polski · Português · Español · Kiswahili · తెలుగు · Traditional chinese · Türkçe · isiZulu · Tiếng Việt

Don't have the language you need? Just create an issues.


Beji Jina Jinsi ya kuipata
Achievement badge Heart On Your Sleeve Heart On Your Sleeve Iwapo umejibu chochote kwenye GitHub ukitumia emoji ya ❤️ (Bado iko Kwenye majaribio)
Achievement badge Open Sourcerer Open Sourcerer Iwapo una PRs zilizo unganishwa katika hazina au repo nyingi za umma. (Bado iko Kwenye majaribio)
Achievement badge Starstruck Starstruck Iwapo una hazina au repo ambayo ina Nyota 16 au zaidi.
Achievement badge Quickdraw Quickdraw Iwapo umefunga suala au ombi la kuchangia ndani ya dakika 5 za kufunguliwa.
Achievement badge Pair Extraordinaire Pair Extraordinaire Iwapo umekuwa Coauthored mara mbili au zaidi kwenye muunganisho wa ombi la kuchangia.
Achievement badge Pull Shark Pull Shark Iwapo una Ombi mbili la kuchangia zilizo unganishwa (au zaidi).
Achievement badge Galaxy Brain Galaxy Brain Iwapo un majibu mbili yalio kubaliwa au zaidi.
Achievement badge YOLO YOLO Unganisha angalau mojawapo ya ombi la kuchangia bila kuhakikisha msimbo au code.
Achievement badge Public Sponsor Mdhamini wa Umma Kudhamini kazi za chanzo wazi au open source kupitia. GitHub Sponsors.
Achievement badge Mars 2020 Contributor Mars 2020 Contributor Kuchangia msimbo kwenye hazina katika Mars 2020 Helicopter Mission. Kwa sasa mapato yake haipo
Achievement badge 2020 GitHub Archive Program Arctic Code Vault Contributor Kuchangia msimbo kwenye hazina katika 2020 GitHub Archive Program. Kwa sasa mapato yake haipo

Vyeo vya Beji

Baadhi ya mafanikio hayana toleo la msingi pekee, bali pia vyeo.

Mafanikio Chaguomsingi Shaba Fedha Dhahabu
Starstruck Achievement badge Starstruck Bronze badge Starstruck Silver badge Starstruck Gold badge Starstruck
Nyota 16 Nyota 128 Nyota 512 Nyota 4096
@torvalds
Pair Extraordinaire Achievement badge Pair Extraordinaire Bronze badge Pair Extraordinaire Silver badge Pair Extraordinaire Gold badge Pair Extraordinaire
ombi la kuchangia 1
@gomzyakov
ombi la kuchangia 10 ombi la kuchangia 24 ombi la kuchangia 48
@Rongronggg9
Pull Shark Achievement badge Pull Shark Bronze badge Pull Shark Silver badge Pull Shark Gold badge Pull Shark
ombi la kuchangia 2 ombi la kuchangia 16 ombi la kuchangia 128 ombi la kuchangia 1024
@ljharb
Galaxy Brain Achievement badge Galaxy Brain Bronze badge Galaxy Brain Silver badge Galaxy Brain Gold badge Galaxy Brain
Majibu 2 Majibu 8 Majibu 16 Majibu 32
@ljharb
Heart On Your Sleeve Achievement badge Heart On Your Sleeve Bronze badge Heart On Your Sleeve Silver badge Heart On Your Sleeve Gold badge Heart On Your Sleeve
??? ??? ??? ???
Open Sourcerer Achievement badge Open Sourcerer Bronze badge Open Sourcerer Silver badge Open Sourcerer Gold badge Open Sourcerer
??? ??? ??? ???

Rangi ya Ngozi kwa Ufanisi

Mwonekano wa mafanikio mengine hutegemea mapendeleo yako ya rangi ya ngozi za emoji

Waweza kubadilisha rangi yako ya Ngozi unayopendelea kwa kwenda kwa: Mipangilio ya Muonekano.


Badge 👋 👋🏻 👋🏼 👋🏽 👋🏾 👋🏿
Starstruck Default skin tone of Starstruck Light skin tone of Starstruck Light-medium skin tone of Starstruck Medium skin tone of Starstruck Medium-dark skin tone of Starstruck Dark skin tone of Starstruck
Quickdraw Default skin tone of Quickdraw Light skin tone of Quickdraw Light-medium skin tone of Quickdraw Medium skin tone of Quickdraw Medium-dark skin tone of Quickdraw Dark skin tone of Quickdraw

Beji Zakuangazia

Beji Jina jinsi ya kuifikia
White badge GitHub ProBlack badge GitHub Pro Pro Tumia GitHub Pro
Dark badge Discussion answeredlight badge Discussion answered Majadiliano Yaliojibiwa Jibu lako kwa mjadala liweke alama kama jibu
Dark badge Developer Program Memberlight badge Developer Program Member Mshiriki Kwenye Programu Msanidi Unafaa uwe mshiriki kwenye Programu ya Msanidi wa GitHub
security-bug-bounty-hunter-darksecurity-bug-bounty-hunter-light Mwindaji wa Tuzo ya Kasoro za Usalama Saidiana kuwinda kasoro za usalama kwenye Usalama wa GitHub
Light badge GitHub Campus ExpertDark badge GitHub Campus Expert Mtaalamu wa Chuo kikuu ya Github Shiriki katika Programu ya GitHub kwenye Chuo Kikuu
Dark badge Security advisory creditLight badge Security advisory credit Mikopo ya Mashauriano ya Usalama Je, mawaidha yako ya usalama yaliyo wasilishwa kwa Hifadhidata ya Mawaidha ya GitHub kuwa imekubaliwa

Je, una mawazo fulani?

Ikiwa una maswali au mapendekezo juu ya jinsi ya kuboresha maelezo kwenye ukurasa huu, unaweza kuiandika kwa suala.